WELCOME "KARIBU" TO ORANGE FOOTBALL ACADEMY ZANZIBAR

WELCOME "KARIBU" TO ORANGE FOOTBALL ACADEMY ZANZIBAR

.

.

.

.

.

.

MUDATHIR YAHYA

MUDATHIR YAHYA

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

SEIF ABDALLA "karihe"

SEIF ABDALLA "karihe"

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

www.ofaznz.net

Total Pageviews

Sunday, 15 January 2012

KIKOSI CHA ANGOLA

Baada ya kumaliza pambano lake la mwisho la majaribio kujiandaa na mashindano ya Caf Nations Cup 2012 Angola imetangaza kikosi chake cha mwisho kitakachosafiri kwenda katika michuano hio ya mwaka inayotarajiwa kuwa migumu kuliko mara iliyopita mwaka 2010 michuano iliyofanyika nchini Angola.

"The Black Antelopes" leo walimaliza mechi yao ya majaribio kwa kuwafunga Sierra Leone jumla ya mabao 3-1 ambapo kabla ya hapo ilitoka suluhu 0-0 na Nigeria mechi iliyofanyika Abuja Nigeria jumatano wiki hii,mechi nyingine za majaribio za Nchi hio ambayo uchumi wake umekuwa kiasi kikubwa na kuwafanya raia wingi wa mabosi wao wa zamani Portugal kuhamia nchini Angola kwenda kutafuta maisha bora kutokana na uchumi wa nchi nyingi za bara la ulaya kuangua "The Black Antelopes 1-1 Cameroon pambano lililofanyika katika mji wa Kabinda, kabla ya kuichapa Zambia bao 1-0 katika uwanja wa Estádio Sagrada Esperança mjini Dundo mechi zote mbili nchini Angola.
Kutokana na Uchumu wa Nchi ya Angola kukua kiasi kikubwa kimemvutia Rivaldo mwanasoka bora wa zamani duniani mwaka 1999 akiwa na F.c Barçelona na mchezaji bora barani Ulani Ulaya,mshindi wa kombe la Dunia 2002 akiwa timu ya ke Brasil ambae pia alichezea Ac Milan ya Italia 2004 imevutiwa na nchi hio na ijumaa hii imejiunga na timu ya Kabuscorp ya Angola baada ya kutia saini ya kuichezea timu hio kwa mwaka mmoja.

Kikosi Cha Angola Ni kama ifuatavyo:

Goalkeepers:
Carlos (unattached), Hugo (Kabuscorp), Wilson (Primeiro Agosto)

Defenders:
Amaro (Primeiro Agosto), Dani Massunguna (Primeiro Agosto), Kali (Primeiro Agosto), Marco Airosa (AEL Limassol, Cyprus), Mingo Bille (Primeiro Agosto), Zuela (Atromitos, Greece)

Midfielders:
Andre Makanga (Al Jahra, Kuwait), Dede (AEL Limassol, Cyprus), Gilberto (Lierse, Belgium), Mabina, Miguel (both Petro Atletico), Osorio (Recreativo Caala), Xara (Petro Atletico)

Forwards:
Djalma (FC Porto, Portugal), Flavio (Lierse, Belgium), Jose Pierre Vunguidica (Preussen Munster, Germany), Love (Petro Atletico), Manucho (Real Valladolid, Spain), Mateus Galiano (Nacional, Portugal), Nando Rafael (FC Augsburg, Germany).