WELCOME "KARIBU" TO ORANGE FOOTBALL ACADEMY ZANZIBAR

WELCOME "KARIBU" TO ORANGE FOOTBALL ACADEMY ZANZIBAR

.

.

.

.

.

.

MUDATHIR YAHYA

MUDATHIR YAHYA

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

SEIF ABDALLA "karihe"

SEIF ABDALLA "karihe"

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

www.ofaznz.net

Total Pageviews

Wednesday 11 January 2012

GABON YATANGAZA KIKOSI CHA MWISHO

Wenyeji wa michuano ya Orange Nations Cup 2012 Gabon wametangaza kikosi chao cha mwisho cha wachezaji 23 ambao wataiwakilisha nchi hio katika fainali hizo zinazoanza mwezi huu.
katika kikosi hicho ni wachezaji 14 tu kati ya 23 ambao walikuwa katika kikosi hicho katika fainali za Caf Orange Nations Cup 2010 pia kuna wachezaji 4 kutoka katika kikosi cha U23.

Goalkeepers:
Yann Bidonga (Mangasport), Stephane Bitseki Moto (US Bitam), Didier Ovono (Le Mans, France)

Defenders:
Georges Ambourouet (Missile FC), Moise Brou Apanga (Brest, France), Bruno Ecuele Manga (Lorient, France), Remy Ebanega (US Bitam), Edmond Mouele (Mangasport), Rodrigue Moundounga (Olympique Beja, Tunisia), Charly Moussonou (Missile FC), Henri Ndong (US Bitam)

Midfielders:
Andre Biyogo Poko (Bordeaux, France), Cedric Boussougou (Mangasport), Levy Madinda (Celta Vigo, Spain), Bruno Mbanangoye Zita (Dinamo Minsk, Ukraine), Cedric Moubamba (US Bitam), Lloyd Palun (Nice, France)

Forwards:
Pierre-Emerick Aubameyang (St Etienne, France), Daniel Cousin (FC Sapins), Fabrice Do Marcolino (Laval), Roguy Meye (Zalaegerszeg, Hungary), Eric Mouloungui (Nice, France), Stephane Nguema (US Bitam).