WELCOME "KARIBU" TO ORANGE FOOTBALL ACADEMY ZANZIBAR

WELCOME "KARIBU" TO ORANGE FOOTBALL ACADEMY ZANZIBAR

.

.

.

.

.

.

MUDATHIR YAHYA

MUDATHIR YAHYA

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

SEIF ABDALLA "karihe"

SEIF ABDALLA "karihe"

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

www.ofaznz.net

Total Pageviews

Saturday, 21 January 2012

LA GRAN FIESTA EN EQUETORIAL GUINEA

Wenyeji Equetorial Guinea leo wameanza vizuri mbele ya Rais na viongozi pamoja na mashabiki wa nchi hio baada ya kuifunga Libya bao 1-0, bao lililofungwa na Balboa katika dakika ya 87 bao ambalo ni muhimu katika historia ya soka nchini humo.
Kutokana na ushindi huo EQ Guinea inaongoza kundi A kwa point 3 na bao 1 huku ikisubiri matokeo ya mechi njingine kati ya Senegal na Zambia itamalizika itamalizikaje.