WELCOME "KARIBU" TO ORANGE FOOTBALL ACADEMY ZANZIBAR

WELCOME "KARIBU" TO ORANGE FOOTBALL ACADEMY ZANZIBAR

.

.

.

.

.

.

MUDATHIR YAHYA

MUDATHIR YAHYA

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

SEIF ABDALLA "karihe"

SEIF ABDALLA "karihe"

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

www.ofaznz.net

Total Pageviews

Sunday, 22 January 2012

ZAMBIA 2-1 SENEGAL

Mabao mawili yaliyofungwa na Mayuka katika dakika ya 12' na Kalaba dakika 20' ya kipindi cha kwanza yalitosha kuweza kuwafanya Chipolopolo kuondoka na point 3 muhimu katika pambano la pili la michuano ya Africa Nations Cup 2012,Senegal walijipatia bao lao pekee katika dakika ya 72' kwa bao lililofungwa na N'Doye.
Zambia wanaongoza kundi A kwa kuwa na point sawa na Equetoria Guinea lakini Chipolopolo wapo juu ya usukani kutokana na idadi zaidi ya mabao ya kufunga.