WELCOME "KARIBU" TO ORANGE FOOTBALL ACADEMY ZANZIBAR

WELCOME "KARIBU" TO ORANGE FOOTBALL ACADEMY ZANZIBAR

.

.

.

.

.

.

MUDATHIR YAHYA

MUDATHIR YAHYA

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

SEIF ABDALLA "karihe"

SEIF ABDALLA "karihe"

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

www.ofaznz.net

Total Pageviews

Tuesday 17 January 2012

O.F.A YAMPONGEZA DR SHEIN KUTAKA SOKA IZALIWE UPYA ZANZIBAR

Kituo cha kukuza soka kwa Vijana nchini cha Oranje Football Academy kimempongeza Rais wa Zanzibar Dk Ali Mohamed Shein kwa kutaka juhudi za lazima zichukuliwe kwa pamoja kuweza kurejesha hadhi ya Zanzibar katika michezo ili kuweza kurejesha heshima nchini iliyotoweka kwa miaka mingi.

Dr Shein Anakuwa ni Rais wa kwanza wa Zanzibar kutangaza kauli na azma hio rasmi baada ya michezo mingi nchini Zanzibar kuondoka hadhi yake au kufa kabisa kutokana na hali za kisiasa silizokuwa zikiikumba Zanzibar miaka mingi iliyopita.

Dr Shein Alisema, ipo haja ya kuimarishwa michezo ya timu za watoto kama vile mashindano ya ‘juvenile, Junior na Central kwa kila timu kubwa kuwa na timu ndogo za vijana ili ziweze kuinua vipaji na kuzisaidia timu hizo kupata wachezaji.

KUTOKANA NA KAULI YA DR SHEIN KITUO CHA KUKUZA SOKA KWA VIJANA NCHINI ORANJE FOOTBALL ACADEMY INAKUWA NI ACADEMY YA KWANZA NCHINI KUWA TAYARI KUSHIRIKIANA NA TIMU YOYOTE AU TIMU ZOZOTE AU MUWEKEZAJI NCHINI KUWEZA KUWA NI KITUO CHAKE KIKUU CHA KUZALISHIA VIPAJI KAMA VILE SOKA INAVYOENDELEZWA KATIKA NCHI ZILIZO ENDELEA KATIKA SOKA DUNIANI.

TAYARI NYOTA WATATU KATIKA KITUO CHETU AMBAO WANACHEZEA KATIKA TIMU ZA TAIFA ZA VIJANA ZA TANZANIA WAPO KATIKA TIMU ZA AZAM,YANGA,NA JKT RUVU AMBAPO WANATARAJIWA KUTWALIWA NA VILABU HIVYO AMBAVYO VINACHEZA KATIKA LIGI YA VODACOM PRIMIER LEAGUE TANZANIA.

HIO NI KUONYESHA NI JINSI GANI O.F.A INATARAJIA KUOKOA FEDHA NYINGI ZA KUSAJILI WACHEZAJI KUTOKA NJE AU VILABU VINGINE NCHINI.
O.F.A INAWAKARIBISHA RASMI KLABU,VILABU,WAWEKEZAJI WATAKAOHITAJIA KUSHIRIKIANA NA KITUO HICHO AMBACHO KIMESHEHENI NYOTA KADHA HAPA NCHINI.