WELCOME "KARIBU" TO ORANGE FOOTBALL ACADEMY ZANZIBAR

WELCOME "KARIBU" TO ORANGE FOOTBALL ACADEMY ZANZIBAR

.

.

.

.

.

.

MUDATHIR YAHYA

MUDATHIR YAHYA

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

SEIF ABDALLA "karihe"

SEIF ABDALLA "karihe"

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

www.ofaznz.net

Total Pageviews

Thursday, 19 January 2012

REAL YAFUNDISHWA TENA SOKA NA BARCA

Barcalona jana iliendelea kuinyanyasa Real Madrid baada ya kuichapa mabao 2-1 katika pambano la kwanza el clasico Copa Del Rey lililofanyika nyumbani kwa Real Madrid Santiago de Bernabeu.
Pambano la marejeano litafanyika jumatano ijayo katika uwanja wa Camp Nou,Real Madrid ili kusonga mbele hatua ya nusu fainali ni lazima ishinde si chini ya mabao 2-0.

Bernabéu
Real Madrid 1 - 2 FC Barcelona
Cristiano Ronaldo 11’
FC Barcelona
Puyol 49’
Abidal 77’