ORANGE CAN 2012
Washirika waandaaji wa mashindano hayo makubwa kuliko yote barani Africa Equatorial Guinea leo watafungua pazia kwa kujitupa katika uwanja mpya wa Bata kuchuana na Libya kuanza kibarua kigumu kwa timu zote zinazoliwakilisha bara la Africa katika michuano hii ya Orange CAN 2012.
Kutokana na kila mwaka ongezeko la wanasoka nyota wa Africa kuendelea kufurika katika soka ya kimataifa inafanya michuano ya mwaka huu kuwa migumu na kutotabirika ni nchi gani itatwaa ubingwa huo tofauti na miaka ya nyuma kuwa na baadhi ya timu zilikuwa zikionekana dhahiri kuwa ndio wenye uwezo wa kutwaa ubingwa huo.
Miamba mingi ya soka barani wamekusudia kutorejea makosa ambayo nchi zao zilikuwa zikiifanya katika michuano ya fainali zilizopita hapo nyuma na kuweka mikakati mikubwa ya mwaka huu kuwa ni mwaka wao wa kutwaa ufalme wa bara na si vinginevyo.
Kutokana na Kutolewa kwa mabingwa wa kombe hilo Egypt na kutoshiriki mashindano hayo kwa mara ya kwanza baada ya miaka mingi katika historia ya nchi hio imetoa sura mpya ya mwaka huu kumpata Mfalme mpya wa Bara letu la Africa,bara ambalo limesheheni nyota wanaongára barani ulaya na sehemu nyingine mbalimbali duniani katika soka.
Wenyeji hao EQ Guinea ambao wanashirikiana na Gabon kuandaa mashindano hayo wapo katika kundi A ambapo katika kundi hilo pia watakuwa na Libya,Zambia na Senegal
Ratiba kamili ni kama hivi:
A
GUINEA EQ. vs. LIBYA
21/01/2012
19H:30
Bata
SENEGAL vs. ZAMBIA
21/01/2012
22H:00
Bata
LIBYA vs. ZAMBIA
25/01/2012
17H:00
Bata
GUINEA EQ. vs. SENEGAL
25/01/2012
GUINEA EQ. vs. ZAMBIA
29/01/2012
19H:00
Malabo
LIBYA vs. SENEGAL
29/01/2012
19H:00
Bata
....................
B
COTE D’IVOIRE vs. SUDAN
22/01/2012
17H:00
Malabo
BURKINA FASO vs. ANGOLA
22/01/2012
20H:00
Malabo
SUDAN vs. ANGOLA
26/01/2012
17H:00
Malabo
COTE D’IVOIRE vs. BURKINA FASO
26/01/2012
20H:00
Malabo
SUDAN vs. BURKINA FASO
30/01/2012
19H:00
Bata
COTE D’IVOIRE vs. ANGOLA
30/01/2012
19H:00
Malabo
....................................
C
GABON vs. NIGER
23/01/2012
17H:00
Libreville
MOROCCO vs. TUNISIA
23/01/2012
20H:00
Libreville
NIGER vs. TUNISIA
27/01/2012
17H:00
Libreville
GABON vs. MOROCCO
27/01/2012
20H:00
Libreville
GABON vs. TUNISIA
31/01/2012
19H:00
Franceville
NIGER vs. MOROCCO
31/01/2012
19H:00
Libreville
..................
D
GHANA vs. BOTSWANA
24/01/2012
17H:00
Franceville
D
MALI vs. GUINEA
24/01/2012
20H:00
Franceville
D
BOTSWANA vs. GUINEA
28/01/2012
17H:00
Franceville
GHANA vs. MALI
28/01/2012
20H:00
Franceville
D
BOTSWANA vs. MALI
01/02/2012
19H:00
Libreville
GHANA vs. GUINEA
01/02/2012
19H:00
Franceville
...................
Quarter Finals – ¼ de finale
1st A vs. 2nd B
04/02/2012
17H:00
Bata
1st B vs. 2nd A
04/02/2012
20H:00
Malabo
1st C vs. 2nd D
05/02/2012
17H:00
Libreville
1st D vs. 2nd C
05/02/2012
20H:00
Franceville
..................
Semi-Finals - ½ Finale
Win. 25 vs. Win. 28
08/02/2012
17H:00
Bata
Win. 27 vs. Win. 26
08/02/2012
20H:00
Libreville
..................
3rd Place match – Match de classement
Loser 29 vs. loser 30
11/02/2012
20H:00
Malabo
Final/Finale
Win. 29 v Win. 30
12/02/2012
20H:00
Libreville
Executive Board begins with a focus on the new UNICEF Strategic Plan,
2018–2021
-
NEW YORK, United States of America, 7 February 2018 – The UNICEF Executive
Board opened its first regular session yesterday, welcoming its new
President fo...
6 years ago