WELCOME "KARIBU" TO ORANGE FOOTBALL ACADEMY ZANZIBAR

WELCOME "KARIBU" TO ORANGE FOOTBALL ACADEMY ZANZIBAR

.

.

.

.

.

.

MUDATHIR YAHYA

MUDATHIR YAHYA

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

SEIF ABDALLA "karihe"

SEIF ABDALLA "karihe"

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

www.ofaznz.net

Total Pageviews

Tuesday, 10 January 2012

THIERRY HENRY AREJEA KWA KASI ARSENAL

Nahodha wa zamani wa timu ya Arsenal Thierry Henry ambae amejea kuichezea timu hio kwa mkopo wa miezi miwili kutoka kwa New York Red Bulls jana aliendelea kuzidisha rekodi yake katika klabu hio ya Arsenal baada ya kuifungia bao muhimu dhidi ya Leeds United bao alililolifunga katika dakika ya 78 akitokea katika benchi na kuiwezesha Arsenal kusonga mbele katika michuano hio ya FA Cup.kutokana na kufunga bao hilo Henry anaongeza idadi ya ufungaji bora wa timu hio kwa kutimiza mabao 227 akivaa jezi ya timu hio.