WELCOME "KARIBU" TO ORANGE FOOTBALL ACADEMY ZANZIBAR

WELCOME "KARIBU" TO ORANGE FOOTBALL ACADEMY ZANZIBAR

.

.

.

.

.

.

MUDATHIR YAHYA

MUDATHIR YAHYA

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

SEIF ABDALLA "karihe"

SEIF ABDALLA "karihe"

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

www.ofaznz.net

Total Pageviews

Monday, 9 January 2012

MESSI MCHEZAJI BORA DUNIANI

Leonel Messi wa F.c Barcelona na Argentine amechaguliwa kuwa mchezaji bora wa soka duniani baada ya kushinda Ballon d'or na kuwapita Christian Ronaldo wa Real Madrid na timu ya taifa ya Portugal na Xavi Hernandez w F.c Barcelona na timu ya taifa ya Spain.
Hii ni mara ya tatu mfulululizo kwa nyota huyo wa F.c Barcelona kukwaa Tunzo hio na anakuwa ni mchezaji wa pili duniani kutwaa tunzo hio kwa mara ya tatu mfululizo ambapo ameweza kuifikia rekodi ya nyota na kaptain wa timu ya taifa ya ufaransa Michael Platini amabye sasa ni bosi wa UEFA,Messi ameweza kuzipita rekodi za wanasoka nyota wa zamani Zenedine Zidane wa Real Madrid na timu ya taifa ya France na Ronaldo De Lima pia mshambuliaji wa zamani wa Real Madrid na timu ya taifa ya Brasil kutwaa tunzo hio mara mbili mfululizo.