WELCOME "KARIBU" TO ORANGE FOOTBALL ACADEMY ZANZIBAR

WELCOME "KARIBU" TO ORANGE FOOTBALL ACADEMY ZANZIBAR

.

.

.

.

.

.

MUDATHIR YAHYA

MUDATHIR YAHYA

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

SEIF ABDALLA "karihe"

SEIF ABDALLA "karihe"

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

www.ofaznz.net

Total Pageviews

Friday, 24 February 2012

LIGA MUÇULMANA KUCHEZA NA YANGA MECHI YA KIRAFIKI

Mabingwa wa Soka wa Msumbiji Liga Muçulmana ya Maputo inatarajiwa kucheza mechi moja ya kirafiki dhidi ya Yanga katika kujitayarisha na mechi zao za marejeano za kombe la mabingwa wa Africa zitakazofanyika mwanzoni mwa mwezi ujao.
Liga Muçulmana itarejeana na Mafunzo ya Zanzibar Aidha katika uwanja wao wenyewe wenye nyasi bandia uliopo katika mji wa Matola nje kidogo ya jiji la Maputo au kuchezea katika uwanja mpya wa taifa wa nchi hio uliopo Zimpeto jijini Maputo,wakati Yanga itarejeana na Zamalek jijini Cairo au sehemu nyingine watakayopangiwa na wenyeji wao.
Tarehe ya mechi hio ya kirafiki kati ya Yanga na Liga Muçulmana haikutolewa,kwa mujibu wa gazeti la kila siku la msumbiji Jornal Noticia la leo 24-02-2012.