WELCOME "KARIBU" TO ORANGE FOOTBALL ACADEMY ZANZIBAR

WELCOME "KARIBU" TO ORANGE FOOTBALL ACADEMY ZANZIBAR

.

.

.

.

.

.

MUDATHIR YAHYA

MUDATHIR YAHYA

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

SEIF ABDALLA "karihe"

SEIF ABDALLA "karihe"

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

www.ofaznz.net

Total Pageviews

Saturday, 25 February 2012

ORANJE FOOTBALL ACADEMY YASHINDA TENA LIGI U17

Mabingwa wa soka wa Zanzibar kwa vijana wenye umri chini ya miaka 20 Oranje Football Academy leo imeichapa BZL jumla ya mabao 2-0 katika pambano la ligi ya vijana.

Katika pambano hilo vijana wa O.F.A walitawala mchezo kwa kutandaza soka ya uhakika na kuwapa wakati mgumu wapinzani wao hivyo kuwafanya mabingwa hao kutoka na ushindi kwa mara ya pili mfululizo katika mechi zao mbili za ligi walizocheza.

Mabao yote mawili ya O.F.A yalipachikwa kimiani na mshambuliaji wao hatari ambae pia ni mshambuliaji wa timu ya Taifa ya Zanzibar U17 Yunus Bernad na kuwahakikishia Mabingwa hao kutoka na Point 3 muhimu hivyo kujikusanyia jumla ya point 6 katika mechi mbili za ligi walizocheza.