WELCOME "KARIBU" TO ORANGE FOOTBALL ACADEMY ZANZIBAR

WELCOME "KARIBU" TO ORANGE FOOTBALL ACADEMY ZANZIBAR

.

.

.

.

.

.

MUDATHIR YAHYA

MUDATHIR YAHYA

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

SEIF ABDALLA "karihe"

SEIF ABDALLA "karihe"

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

www.ofaznz.net

Total Pageviews

Tuesday, 28 February 2012

LUIS HENRIQUE "PETTY" ASAJILIWA MADRID

Real Madrid Imemsajili  mshambuliaji hatari kutoka Brasil  Luis Henrique dos Santos, maarufu kwa jina la  "Pety" kwa mkataba wa jumla ya miaka 5.
 "Petty" Kinda mwenye umri wa miaka 13 amesajiliwa  baada ya Yosso huyo kufanikiwa kupita katika majario yake jijini  Madrid majaribio ambayo yaliyofanyika kwa muda wa siku tano mfulululizo.
Ni kawaida kwa timu za barani Ulaya kutwaa nyota kutoka katika umri mdogo mara wanapogundua kama kinda huyo ana kipaji na sifa zote wataalamu wao wanazozitaka.
F.c Barçelona pia ilimtwaa mwanasoka wake bora na mchezaji bora duniani kwa sasa Leonel Messi kutoka Argentina akiwa na umri kama huo wa miaka 13 hivyo kuokoa mamilioni ya Euros kama wangelimkuta Messi akiwa kama sasa hivi kutonunilika kirahisi.