WELCOME "KARIBU" TO ORANGE FOOTBALL ACADEMY ZANZIBAR

WELCOME "KARIBU" TO ORANGE FOOTBALL ACADEMY ZANZIBAR

.

.

.

.

.

.

MUDATHIR YAHYA

MUDATHIR YAHYA

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

SEIF ABDALLA "karihe"

SEIF ABDALLA "karihe"

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

www.ofaznz.net

Total Pageviews

Wednesday, 29 February 2012

MATOKEO YA MICHUANO YA CAN 2013

Taifa Stars imetoka sare kwa bao 1-1 dhidi ya Msumbiji katika kuwania nafasi ya kucheza Africa Cup Of Nations mwaka kesho fainali zake zitakazofanyika nchini Afrika ya Kusini.Msumbiji walikuwa wa kwanza kuandika bao ambapo Stars walisawazisha baadae kwa bao lilifungwa na Mwinyi Kazimoto hivyo kufufua matumani ya kufanya vizuri katika pambano la marejeano litakalofanyika mjini Maputo Msumbiji.
Matokeo kamili ya Mapambano mengine ni kaya hivi yalivyo:

 • Tanzania 1-1 Mozambique
 • Ethiopia 0-0 Benin
 • Rwanda 0-0 Nigeria
 • Burundi 2-1 Zimbabwe
 • Kenya 2-1 Togo
 • Seychelles 0-4 DR Congo
 • Chad 3-2 Malawi
 • Congo 3-1 Uganda
 • Liberia 1-0 Namibia
 • Sao Tome 2-1 Sierra Leone
 • The Gambia 1-2 Algeria
 • Guinea-Bissau 0-1 Cameroon
 • Madagascar 0-4 Cape Verde