WELCOME "KARIBU" TO ORANGE FOOTBALL ACADEMY ZANZIBAR

WELCOME "KARIBU" TO ORANGE FOOTBALL ACADEMY ZANZIBAR

.

.

.

.

.

.

MUDATHIR YAHYA

MUDATHIR YAHYA

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

SEIF ABDALLA "karihe"

SEIF ABDALLA "karihe"

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

www.ofaznz.net

Total Pageviews

Thursday, 23 February 2012

MATOKEO EUFA CHAMPIONS LEAGUE

F.c Basel imeichapa Beyern Muchen bao 1-0 katika pambano la Eufa Champions League lililofanyika katika uwanja wa Sankt Jakob Park mjini Basel katika pambano la awala la michuano hio,bao lililoizamisha Beyern lilifungwa na Valentin Stocker katika dakika ya 86.

Wakati huohuo Bao lililofungwa katika dakika ya 92 na Andre Ayew lilizidisha kuisambaratisha Inter Milan hivyo kuiweka katika wakati mgumu timu hio huku siku za kocha wao Claudio Ranieri zikiwa zinahesabika za kubakishwa klabuni hapo