WELCOME "KARIBU" TO ORANGE FOOTBALL ACADEMY ZANZIBAR

WELCOME "KARIBU" TO ORANGE FOOTBALL ACADEMY ZANZIBAR

.

.

.

.

.

.

MUDATHIR YAHYA

MUDATHIR YAHYA

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

SEIF ABDALLA "karihe"

SEIF ABDALLA "karihe"

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

www.ofaznz.net

Total Pageviews

Monday, 20 February 2012

OLA JOHN APACHIKA BAO JINGINEChipukizi anaewasha moto kwa kupachika mabao wa F.c Twente ya Holland Ola John mwishoni mwa wiki iliyopita aliendeleza wimbi lake la upachikaji mabao baada ya kuifungia timu yake bao la tatu kati ya 4-1 F.c Twente waliyoshinda dhidi ya Vitesse Arnhem katika michuano ya ligi kuu ya Holland Eradivisie.Kinda huyo pia alitoa pasi bao la kwanza na kuchangia katika ufungaji wa mabao mengine ya timu yake katika pambano hilo.