WELCOME "KARIBU" TO ORANGE FOOTBALL ACADEMY ZANZIBAR

WELCOME "KARIBU" TO ORANGE FOOTBALL ACADEMY ZANZIBAR

.

.

.

.

.

.

MUDATHIR YAHYA

MUDATHIR YAHYA

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

SEIF ABDALLA "karihe"

SEIF ABDALLA "karihe"

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

www.ofaznz.net

Total Pageviews

Wednesday, 22 February 2012

UTEMI WA TIMU ZA ENGLAND UEFA CHAMPIONS LEAGUE WAZIDI KUTOWEKA

Napoli ya Italia imeifunga Chelsea ya Uingereza jumla ya mabao 3-1 katika pambano la Uefa Champions League lililofanyika katika uwanja wa San Paulo mjini Napoli.
Chelsea walikuwa wa kwanza kuandika bao katika dakika ya 27 kwa bao lililopachikwa na Mata kabla ya Napoli kurejea katika mchezo kwa mabao yalifungwa na Lavezzi katika dakika za 38,65,na Cavani maarufu kwa jina la "El Matadore-muuaji" katika dakika ya 45 .

Katika pambano la awali kati ya CSKA Moscow na Real Madrid pambano lililofanyika katika uwanja wa Luzhniki mjini Moscow lilimalizika kwa sare ya 1-1.
Real Madrid walikuwa wa kwanza kupachika bao katika dakika ya 28 bao lililofungwa na Ronaldo wakati lile la CSKA lilifungwa katika dakika ya mwisho ya majeruhi 93 bao lililofungwa na Wernbloom.