WELCOME "KARIBU" TO ORANGE FOOTBALL ACADEMY ZANZIBAR

WELCOME "KARIBU" TO ORANGE FOOTBALL ACADEMY ZANZIBAR

.

.

.

.

.

.

MUDATHIR YAHYA

MUDATHIR YAHYA

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

SEIF ABDALLA "karihe"

SEIF ABDALLA "karihe"

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

www.ofaznz.net

Total Pageviews

Monday 13 February 2012

ZAMBIA WAFALME WA SOKA AFRICA:MASTER KALABA AKOSA PENALTI






















CHIPOLOPOLO"COPPER BULLET" IMETWAA UFALME WA SOKA BARA AFRICA BAADA YA KUIFUNDISHA ELEPHANTS JINSI YA UPIGAJI WA PENALTI KWA JUMLA YA MIKWAJU YA PENALTI 8-7 KATIKA PAMBANO KALI LA FAINALI LILILOCHEZWA KWA MUDA WA DAKIKA 120 MATOKEO 0-0.
SUNZU ILIMALIZIA PENALTI YA MWISHO YA MAUAJI BAADA YA MATOKEO KUWA 7-7 AMBAPO KOLO TOURÉ ALIKOSA PENALTI MOJA NA NA PENALTI YA IVORY COAST YA MWISHO GERVINHO ALIPOTEZA PENALTI HIO WAKATI KWA UPANDE WA ZAMBIA "MASTER" KALABA ALIPOTEZA PENALTI YA SABA KABLA YA SUNZU KUKWAMISHA KIMIANI GOLI SAFI LA PENALTI KATIKA PAMBANO HILO SAFI LA AFRICA CUP OF NATIONS 2012.
HII NI MARA YA KWANZA KWA ZAMBIA KUTWAA UBINGWA WA BARA LA AFRICA WAKATI ALIKUWA NI MSHAMBULIAJI WA CHELSEA DROGBA ALIEPOTEZA PENALTI KATIKA DAKIKA YA KATIKA MCHEZO HUO HIVYO KUIFANYA NCHI HIO KUENDELEA KUSOTA ZAIDI YA MIAKA 20 KUSUBIRI UBINGWA HUO.
IKICHEZA KAMA NDUGU WA TUMBO MOJA NA MARAFIKI WAKUBWA KIWANJANI WAMEFANIKIWA KUTWAA UBINGWA HUO KUTOKANA NA UMOJA NA UCHEZAJI WAO WA UHAKIKA TOKEA KUANZA KWA MASHINDANO HAYO.
................
KITUO CHA KUKUZA SOKA KWA VIJANA NCHINI KINAIPONGEZA ZAMBIA KWA USHINDI HUO WA HISTORIA.
KUTOKANA NA WACHEZAJI WOTE KUCHEZA KATIKA KIWANGO KIKUBWA SIFA ZAIDI KWA UPANDE WA ZAMBIA MBALI NA NAHODHA KATONGO,IMEPENDEKEZA MCHEZAJI BORA WA MASHINDANO NI "MASTER" KALABA ,AMBAE ALIWACHANGANYA VIUNGO WA IVORY COAST NA KABLA YA HAPO ALIFANYA HIVYO KUWANYANYASA SENEGAL PAMOJA NA GHANA,VILEVILE ORANJE FOOTBALL ACADEMY IMEMCHAGUA KWA UPANDE WAKE ,MWEENE KUWA NI KIPA BORA WA MASHINDANO HAYO.
KILA LA KHERI ZAMBIA.
KILA LA KHERI MABADILIKO YA SOKA AFRICA.


.........................................................................................................................