WELCOME "KARIBU" TO ORANGE FOOTBALL ACADEMY ZANZIBAR

WELCOME "KARIBU" TO ORANGE FOOTBALL ACADEMY ZANZIBAR

.

.

.

.

.

.

MUDATHIR YAHYA

MUDATHIR YAHYA

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

SEIF ABDALLA "karihe"

SEIF ABDALLA "karihe"

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

www.ofaznz.net

Total Pageviews

Sunday, 12 February 2012

MAKINDA WALIOPACHIKA MABAO WIKI HII

Stephan El Shaarawy Kinda wa Ac Milan ambae jana aliiokoa timu yake baada ya kufunga bao muhimu lililoipeleka Milan kileleni mwa ligi hio kwa ushindi wa mabao 2-1 dhidi ya Udinese walitangulia kupachika bao lao katika dakika ya 71 kabla ya Milan kusawazisha katika dakika 75, kama vile pambano hilo lingeishia kwa sare Kinda El Shaarawy mwenye umri wa miaka 19 mwenye uraia wa Italia akiwa na wazazi mama Mtaliana na Baba Egypt aliweza kuiandikia timu yake ya Milan bao muhimu katika dakika ya 90 hivyo kuhakikisha kuiziba vizuri nafasi aliyopewa kuitumikia kutokana na mshambuliaji wao Ibrahimovic kutumikia adhabu aliyopewa huku Pato akiwa majeruhi.
......................................................................................................................................
Cristian Tello "new Forlan" jana aliifungia tena timu yake ya Barçelona dhidi ya Osasuna bao alililofunga katika dakika ya 73,bao la pili kwa Kinda huyo ambae pia wiki iliyopita aliifungia timu yake bao la kwanza tokea kuanzishwa kucheza katika kikosi cha kwanza cha timu hio.
Bao hilo la Tello ilikuwa pia ni bao la pili kwa pambano la jana ambapo hata hivyo Barçelona haikuwa kuepuka kipigo cha mabao 3-2 kutoka kwa Osasuna.