WELCOME "KARIBU" TO ORANGE FOOTBALL ACADEMY ZANZIBAR

WELCOME "KARIBU" TO ORANGE FOOTBALL ACADEMY ZANZIBAR

.

.

.

.

.

.

MUDATHIR YAHYA

MUDATHIR YAHYA

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

SEIF ABDALLA "karihe"

SEIF ABDALLA "karihe"

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

www.ofaznz.net

Total Pageviews

Friday, 9 March 2012

BAO LA MUNTARI LILILOKATALIWA DHIDI YA JUVE

ANGALIA VIZURI GOLI LA MUNTARI WA A.C MILAN DHIDI YA JUVENTUS ALILILOFUNGA NA KUKATALIWA.SIO LILIVUUKA KIDOGO MSTARI WA GOLI.BALI MSHIKA KIBENDERA ANAKATAA PIA KUWA MPIRA BUFFON HAKUUTOA NDANI YA NYAVU.
KWA WALE WALIOBAHATIKA KUIONA GEMU HII LIVE BASI ILIKUWA NI UAMUZI MBOVU WA REFA.KWANI DAKIKA ILEILE UBAO WA TV ILIYOPO SANSIRO ILIONYESHA KAMA UNAVYOONA BUFFON AKIUCHUKUA MPIRA WAVUNI.

LAKINI MWAMUZI NA MSHIKA KIBENDERA WOTE WALIFUNGA MACHO WAKAWA VIPOFU NA KAMA ILE TV PALE UWANJANI  NDIO INASEMA UONGO KWA KILE KITENDO KUWA HAKIKUTOKEA KABISA PALE WAKATI ULE.