WELCOME "KARIBU" TO ORANGE FOOTBALL ACADEMY ZANZIBAR

WELCOME "KARIBU" TO ORANGE FOOTBALL ACADEMY ZANZIBAR

.

.

.

.

.

.

MUDATHIR YAHYA

MUDATHIR YAHYA

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

SEIF ABDALLA "karihe"

SEIF ABDALLA "karihe"

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

www.ofaznz.net

Total Pageviews

Friday, 9 March 2012

UBAYA WA USHAHIDI WA UONGO NA MATOKEO YAKE VIWANJANI

MSHAMBULIJI WA F.C TWENTE YA HOLLAND DE JONG BILA KUGUSWA ANAJIPIGA MIGUU NDANI YA SANDUKU LA ADHABU MWENYEWE NA KUANGUKA NA WOTE WALIOKUWA WAKIANGALIA LIVE WALIJUA NI KADI YA NJANO KWA DE JONG.

BILA MATARAJIO WAKAONA KADI NYEKUNDU LAKINI BADO WALIJUA NI KWA HUYO MSHAMBULIAJI.NA BILA MATARAJIO KWA MASIKITIKO KABISA MWAMUZI ANAMUONYESHA KADI NYEKUNDU MATIP WA SCHALKE 04 YA UJERUMANI NA KUAMUA KUWA NI PENALTI.
MBELE YAKE KULIKUWA NA MUAMUZI PEMBENI MWA GOLI.NA MSHIKA KIBENDERA KULIA AMBAYE ALIPOULIZWA NA MWAMUNI AKATOA USHAHIDI WA UWONGO KAMA MLINDI MATIP ALIMKWATUA MGUU WA NYUMA HUYO MFUNGAJI HIVYO ILIKUWA SAHIHI PENALTI HIO.
KUTOKANA NA UONEVU HUO ILIMLAZIMISHA BEKI HUYO KUTOLEWA NJE BILA KOSA LOLOTE NA PIA KUWAPATIA F.C. TWENTE BAO LA BURE.HATA ILIPOREJEWA KATIKA TV PALEPALE PIA WAAMUZI WATANO WA PAMBANO HILO WALIFUNGA MACHO KUWA VIPOFU KAMA WOTE HAWAKUONA KITU.
BAADA YA KUMALIZIKA KWA PAMBANO HILO KOCHA WA FC TWENTE MUINGEREZA Mc LAREN  AMBAE ALIKUWA KOCHA WA ZAMANI WA TAIFA YA NCHI HIO ALITAA  NA KUSEMA HANA HAJA YA KUANGALIA MKANDA HUO KWANI MCHEZO UMEKWISHA NA HAWEZI KUBADILISHA KITU AMBACHO MWAMUZI AMEAMUA HAPO UWANJANI.

KWA MARA YA MWISHO BEKI NA HUYO MFUNGAJI WALIKUTANA NJE MSTARI WA SANDUKU LA HATARI.
KUTOKANA NA KASI YA MSHAMBULIJI ALIKUWA NDIO WA KWANZA KUVUUKA AKIWA PEKEE MBELE NA NDANI YA SANDUKU HILO LA ADHABU NA KUJIKWATUA MWENYEWE HUMO NDNI YA MSTARI WA SANDUKU HILO LAKINI HATA HIVYO MKOSA NI YULE BEKI.
 HIVYO  KUZAA HADITHI KAZAA BARANI ULAYA JUU YA BAO HILO  KWA KITENDO HICHO CHA WAAMUZI WATANO NA KAMERA KILA UPANDE KUSHIDWA KUTENDA HAKI KUTOKANA NA KUENDELEA KUTOA USHAHIDI WA KIZAMANI WA KUAMINI ZAIDI MACHO YAO KULIKO KAMERA HIZO ZA UWANJANI.