WELCOME "KARIBU" TO ORANGE FOOTBALL ACADEMY ZANZIBAR

WELCOME "KARIBU" TO ORANGE FOOTBALL ACADEMY ZANZIBAR

.

.

.

.

.

.

MUDATHIR YAHYA

MUDATHIR YAHYA

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

SEIF ABDALLA "karihe"

SEIF ABDALLA "karihe"

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

www.ofaznz.net

Total Pageviews

Thursday, 8 March 2012

BARÇELONA YAFANYA MAUAJI EUFA CHAMPIONS LEAGUE

Mabingwa wa soka barani ulaya F.c Barçelona imefanya maangazimi baada ya kuirarua Bayer Liverkusen jumla ya mabao 7-1 na kusonga mbele hatua ya robo fainali kwa ushindi mnono wa jumla ya mabao 10-2. Kufuatia ushindi wa mabao 1-3 ulioupata katika mechi ya awali ya ugenini iliyofanyika mjini mjini Ujerumani
mabingwa hao waliandika karamu ya magoli kupitia kwa Messi aliefunga mabao 5 na kinda Tello katika dakika za 
Messi 25’, 42’, 49’, 58’, 84’
 na Tello 55’, 62’.
Katika pambano jingine la michuano hio kati ya APOEL Nicosia dhidi ya Olympic Lyon pambano lililochezwa kwa dakika 120 baada ya Apoel kushinda bao 1-0 katika dakika dakika 90 za kawaida matokeo ambayo yalikuwa kama hayo Lyon ilishinda nyumbani kwa bao 1-0 hivyo pambano hilo kuamuliwa kwa njia ya penalti.
Apoel Nicosia ya Syprus imeandika historia kwa kuwa timu ya kwanza ya nchi hio kuingia robo fainali ya michuano baada ya kushinda kwa jumla ya penalti 4-3 na Olympic Lyon kutupwa nje ya michuano hio.