WELCOME "KARIBU" TO ORANGE FOOTBALL ACADEMY ZANZIBAR

WELCOME "KARIBU" TO ORANGE FOOTBALL ACADEMY ZANZIBAR

.

.

.

.

.

.

MUDATHIR YAHYA

MUDATHIR YAHYA

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

SEIF ABDALLA "karihe"

SEIF ABDALLA "karihe"

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

www.ofaznz.net

Total Pageviews

Wednesday 7 March 2012

AC MILAN NA BENFICA ZAINGIA ROBO FAINALI

Arsenal pamoja na kushinda jumla ya mabao 3-0 dhidi ya Ac Milan katika michuano ya Eufa Champions League imeyaaga mashindano hao baada ya kuwa nyuma kwa bao 1-0 zaidi ya Milan.
Ac Milan imeingia robo fainali kwa jumla ya mabao 4-3.
Mabao ya Arsenal yalifungwa na Koscielny dakika ya 7,Rosický 26 na van Persie 43 kwa nji ya penalti.

Katika pambano jingine Benfica ya Ureno imesonga mbele hatua ya robo fainali baada ya kuifunga Zenit St Petersbug ya Urusi jumla ya mabao 2-0.
Mabao ya Benfica yalifungwa na Maxi Pereira dakika ya 45 na Oliveira dakika ya 92.
Benfica imesonga mbele kwa jumla ya mabao 4-3.