WELCOME "KARIBU" TO ORANGE FOOTBALL ACADEMY ZANZIBAR

WELCOME "KARIBU" TO ORANGE FOOTBALL ACADEMY ZANZIBAR

.

.

.

.

.

.

MUDATHIR YAHYA

MUDATHIR YAHYA

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

SEIF ABDALLA "karihe"

SEIF ABDALLA "karihe"

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

www.ofaznz.net

Total Pageviews

Wednesday, 14 March 2012

BAYERN YAANGAMIZA,INTER NJE.

Mabingwa wa zamani wa bara la Ulaya Inter Milan imengólewa nje katika michuano ya Eufa Champions League baada ya kushinda mabao 2-1 hivyo matokeo kuwa 2-2 lakini Olympic  Marseille imesonga mbele kwa bao la ugenini.
Mabao ya Inter yalifungwa na Milito dakika ya 75 na kwa njia ya penalti dakika ya 92.bao la Marseille lilifungwa na Brandao dakika ya 90.

Katika pambano jingine la michuano hio Bayern Munchen imefanya mauaji baada ya kuichapa F.c Basel jumla ya mabao 7-0.
Basel ikiongoza kwa bao 1-0 ililolipata nyumbani na kudhaniwe ingeliweza angalau kutoka sare ya aina yoyote kuweza kusonga mbele lakini upepo uliwabadilikia na kunyanyaswa kuanzia mwanzo wa mchezo hadi mwisho. Mario Gomez alipachika mabao 4 katika dakika za  44, 50, 61, 67, Robben 10, 81,
Müller 42’.
Bayern München na Olympic Marseille zimeingia robo fainali, wakati Inter Milan na F.c Basel zimeyaaga mashindano hayo ya mwaka huu.