WELCOME "KARIBU" TO ORANGE FOOTBALL ACADEMY ZANZIBAR

WELCOME "KARIBU" TO ORANGE FOOTBALL ACADEMY ZANZIBAR

.

.

.

.

.

.

MUDATHIR YAHYA

MUDATHIR YAHYA

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

SEIF ABDALLA "karihe"

SEIF ABDALLA "karihe"

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

www.ofaznz.net

Total Pageviews

Thursday, 15 March 2012

REAL MADRID ,CHELSEA ZAINGIA ROBO FAINALI

Chelsea ilikuwa na kibarua kikubwa cha mabao 3-1 dhidi ya Napoli katika pambano la awali lililofanika nchini Italia imeweza kuwageuzia kibao Napoli na kuwakandika mabao 4-1 na kuingia robo fainali michuano Eufa Champions League,mabao ya Chelsea yalifungwa na Drogba 28,Terry 47,Lampard 75,(pen.)
Ivanovic 105, bao la Napoli lilifungwa na Inler katika dakika ya 55.

Katika pambano jingine Real Madrid imeiadhibu CSKA ya Moscow jumla ya mabao 4-1 na kusonga mbele hatua ya robo fainali ya michuano hio.katika pambano la awali matokeo yalikuwa 1-1 hivyo Real Madrid imesonga mbele kwa jumla ya mabao 5-2.
Katika pambano hilo mabao ya Real Madrid yalipachikwa na Higuain katika dakika ya 26,Ronaldo mabao mawili dakika za 55 na 93 na Benzema dakika ya70.
Bao pekee la CSKA lilifungwa na Tosic dakika ya 77.