WELCOME "KARIBU" TO ORANGE FOOTBALL ACADEMY ZANZIBAR

WELCOME "KARIBU" TO ORANGE FOOTBALL ACADEMY ZANZIBAR

.

.

.

.

.

.

MUDATHIR YAHYA

MUDATHIR YAHYA

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

SEIF ABDALLA "karihe"

SEIF ABDALLA "karihe"

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

www.ofaznz.net

Total Pageviews

Tuesday, 27 March 2012

REAL MADRID,CHELSEA ZASHINDA CHAMPIONS LEAGUE

Real Madrid imejiweka katika hatua nzuri ya kuingia nusu fainali ya michunao ya kombe la Mabingwa wa bara la ulaya baada ya kuifunga Apoel Nicosia nyumbani kwao jumla ya mabao 0-3.
itakuwa ni kazi kubwa kwa Apoel kuweza kuifunga Real Madrid zaidi ya mabao manne kwa kwa bila katika uwanja wa Santiago Bernabéu mwezi ujao.Mabao ya Madrid yalifungwa na Benzema mara mbili na Kaká.
Katika Pambano jingine la michuano hio Chelsea pia ipo katika hatua nzuri ya kuvuuka hatua hio baada ya kushinda ugenini katika uwanja wa Estadio Da Luz mbele ya Benfica kwa bao 0-1.
bao pekee na muhimu katika pambano hilo lilifungwa na  Kalou katika dakika ya 75.