WELCOME "KARIBU" TO ORANGE FOOTBALL ACADEMY ZANZIBAR

WELCOME "KARIBU" TO ORANGE FOOTBALL ACADEMY ZANZIBAR

.

.

.

.

.

.

MUDATHIR YAHYA

MUDATHIR YAHYA

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

SEIF ABDALLA "karihe"

SEIF ABDALLA "karihe"

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

www.ofaznz.net

Total Pageviews

Wednesday, 28 March 2012

BAYERN MÜNCHEN YAITUNGUA OL MARSEILLE

Olympic Maeseille imefungwa mabao 2-0 na Bayern München katika pambano la Eufa Champions League lililofanyika katika uwanja wa Stade Vélodrome mjini Marseille.
Mabao ya Beyern yalifungwa na Gomez katika dakika ya 44 na Robben dakika ya 69.
Katika pambano Ac Milan na Fc Barçelona zimetoka suluhu 0-0 pambano lililofanyika katika uwanja San Siro Milan.