WELCOME "KARIBU" TO ORANGE FOOTBALL ACADEMY ZANZIBAR

WELCOME "KARIBU" TO ORANGE FOOTBALL ACADEMY ZANZIBAR

.

.

.

.

.

.

MUDATHIR YAHYA

MUDATHIR YAHYA

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

SEIF ABDALLA "karihe"

SEIF ABDALLA "karihe"

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

www.ofaznz.net

Total Pageviews

Sunday, 4 March 2012

SIMBA YAICHAPA KIOVU YA RWANDA 2-1

Miamba ya soka nchini Simba ya Jijini Dar Es Salaam imeitwanga Kiovu ya Rwanda jumla ya mabao 2-1 katika pambano la Orange Confederations Cup lililofanyika jijini Dar.
Mabao yote ya Simba yalitundikwa na Sunzu katika dakika za 19 na 35.
Kutokana na Ushindi huo simba imetinga katika hatua ya kwanza ya michuano kwa jumla ya mabao 3-2 ambapo itacheza dhidi ya Es Setif ya Algeria mwezi ujao.