WELCOME "KARIBU" TO ORANGE FOOTBALL ACADEMY ZANZIBAR

WELCOME "KARIBU" TO ORANGE FOOTBALL ACADEMY ZANZIBAR

.

.

.

.

.

.

MUDATHIR YAHYA

MUDATHIR YAHYA

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

SEIF ABDALLA "karihe"

SEIF ABDALLA "karihe"

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

www.ofaznz.net

Total Pageviews

Sunday, 4 March 2012

ANDRE VILLAS-BOAS AFUKUZWA KAZI CHELSEA

Baada ya kuvumiliana kwa muda tokea kuwasili kwa kocha wa Chelsea Adre Villas-Boas leo Timu hiyo imemtimua rasmi baada ya matokeo ya jana ya kuchapwa bao 1-0 dhidi ya West Bromwich.
AVB  ambae alijiunga na timu hio mwezi June mwaka 2011 aliifundisha timu hio si zaidi ya miezi 6 hivyo kushindwa kuonyesha ubora wake uliompeleka katika klabu hio ya Stanford Bridge.