WELCOME "KARIBU" TO ORANGE FOOTBALL ACADEMY ZANZIBAR

WELCOME "KARIBU" TO ORANGE FOOTBALL ACADEMY ZANZIBAR

.

.

.

.

.

.

MUDATHIR YAHYA

MUDATHIR YAHYA

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

SEIF ABDALLA "karihe"

SEIF ABDALLA "karihe"

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

www.ofaznz.net

Total Pageviews

Friday, 27 April 2012

ATHLETIC BILBAO VS ATHLETICO MADRID FAINALI EUROPER LEAGUE

Athletic Bilbao na Athletico Madrid zote za Spain zimeingia fainali ya michuano ya Europer League baada ya zote mbili kushinda katika mapambano yao.

Huku Bilbao ikiifunga Sporting Lisbon mabao 3-1 hivyo kulipiza kipigo ilichokipata wiki iliyopita ya mabao 2-1 na kuingia Fainali ambapo itakutana na Ethletico Madrid ambayo wameichapa Valencia nyumbani kwa bao 1-0 katika pambano la pili nyumbani kwa Valencia ambao kabla walipata kichapo cha mabao 4-2 mjini Madrid na kfanya matokeo ya mechi zote mbili kuwa 5-2.

Mabao ya Bilbao yalifungwa na Susaeta katika dakika ya 17,Gomez dakika ya 45 na Llorente dakika ya 88 na lile la Athletico Madrid lilifungwa na Adrian katika dakika ya 60.