WELCOME "KARIBU" TO ORANGE FOOTBALL ACADEMY ZANZIBAR

WELCOME "KARIBU" TO ORANGE FOOTBALL ACADEMY ZANZIBAR

.

.

.

.

.

.

MUDATHIR YAHYA

MUDATHIR YAHYA

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

SEIF ABDALLA "karihe"

SEIF ABDALLA "karihe"

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

www.ofaznz.net

Total Pageviews

Thursday, 26 April 2012

BAYERN MÜNCHEN VS CHELSEA FINAL

Bayern münchen jana iliiingia fainali za michuano ya Eufa Champions leagua baada ya kushinda kwa penalti 3-1 baada ya matokeo ya kawaida baada ya dakika 120 za pambano hilo kuwa Real Madrid kushinda mabao 2-1 idadi sawa na Wapinzani wao waliyoshinda katika pambano la awali la nusu fainali la michuano hio.

Mabao ya Real Madrid katika pambano hilo yalifungwa na Ronaldo katika dakika za 6 kwa njia ya penalti na katika dakika ya 14, wakati lile la Bayern lilifungwa na Roben katika dakika ya 27 kwa penalti.
hadi dakika 120 mabao yalikuwa ni 2-1.

Bayern wameingia katika fainali watakazocheza katika uwanja wao wa nyumbani kwa penalti zilizofungwa na Alaba,Gomez na Schweinsteiger wakati Kroos na Lahm walikosa kwa upande wa Bayern,
Penalti ya Madrid ilifungwa na Alonso huku Ronaldo,Kaká na Ramos walipoteza penalti zao hivyo kuifanya Bayern kutinga Fainali hizo ambapo sasa watapambana na Chelsea katika uwanja wa Alliance ArenA.