WELCOME "KARIBU" TO ORANGE FOOTBALL ACADEMY ZANZIBAR

WELCOME "KARIBU" TO ORANGE FOOTBALL ACADEMY ZANZIBAR

.

.

.

.

.

.

MUDATHIR YAHYA

MUDATHIR YAHYA

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

SEIF ABDALLA "karihe"

SEIF ABDALLA "karihe"

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

www.ofaznz.net

Total Pageviews

Wednesday 25 April 2012

CHELSEA YAINGIA FAINALI YA EUFA CHAMPIONS LEAGUE

Katika kile kisicho tarajiwa na wengi Chelsea imetumia vizuri nafasi mbizi za mashambilizi ya haraka ambayo yalitosha kuiondoa Fc Barçelona nje ya michuano ya Eufa Champions League baada ya kutoka sare ya mabao 2-2 katika pambano lililotawaliwa na Wacataluná kwa vipindi vyote viwili.

Huku ikicheza ikiwa pungufu Chelsea ambayo nahodha wao John Terry alieonyeshwa kadi nyekundu katika kipindi cha kwanza iliifanya Barçelona kuongoza kwa mabao 2-0 kwa mabao yaliyofungwa na Busquets 35 na Iniesta 43 huku bao la kwanza la Chelsea lililofungwa na Ramires katika dakika  ya Ramires 45 liliweza kutoa matumaini kwa Chelsea kuweza kuzidisha ulinzi hadi walipopata nafasi yao ya mwisho katika dakika ya 90 ambapo Fernando Torres aliweza kuisawazishia Chelsea bao muhimu lililowavua ubingwa

Fc Barçelona ambao katika pambano hilo la nusu fainali iliweza kutawala pambano hilo kila wizara na kuwafanya Chelsea kubakia ndani ya sanduku lao la adhabu kwa muda mwingi wa pambano hilo ambapo Barçelona haitoweza kusahau kwa muda huu kutoka na kupoteza matumani ya ubingwa wa La Liga matumaini pekee yalikuwa ni kurejesha ubingwa wao na kucheza soka kama kawaida yao la kijipatia mabao mawili muhimu iliyokuwa ikihitajia.

Mbali na kuongoza mabao 2-0 pamoja na Chelsea kucheza wakiwa pungufu kiwanjani kwa muda mrefu wa pambano hilo lakina nafasi kubwa zaidi ya kulimaliza pambano hilo katika dakika ya 48 ambapo Messi alipoteza penalti kwa kugongesha nguzo hivyo hadi mwisho wa pambano hilo Chelsea iliingia fainali kwa jumla ya mabao 3-2.