Mabingwa wa soka wa Zanzibar chini ya umri wa miaka 20 ORANJE FOOTBALL ACADEMY imetoka sare ya 0-0 dhidi ya timu ya Arizona katika pambano gumu la ligi hio kuu ya vijana kituo cha Unguja.
Jumamosi ijayo asubuhi mabingwa hao watajitupa tena katika kiwanja cha Mao tse Tung kupambana na Kwahani F.c katika pambano la tatu la michuano hio inayoendelea nchini.
Executive Board begins with a focus on the new UNICEF Strategic Plan,
2018–2021
-
NEW YORK, United States of America, 7 February 2018 – The UNICEF Executive
Board opened its first regular session yesterday, welcoming its new
President fo...
6 years ago