WELCOME "KARIBU" TO ORANGE FOOTBALL ACADEMY ZANZIBAR

WELCOME "KARIBU" TO ORANGE FOOTBALL ACADEMY ZANZIBAR

.

.

.

.

.

.

MUDATHIR YAHYA

MUDATHIR YAHYA

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

SEIF ABDALLA "karihe"

SEIF ABDALLA "karihe"

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

www.ofaznz.net

Total Pageviews

Saturday, 28 April 2012

WADHAMINI NA WAFADHILI WA VILABU VYA SOKA WEKEZENI FUNGU LA UFADHILI KATIKA TIMU ZA WATOTO NCHINI


Kituo cha Kukuza soka kwa vijana nchini ORANGE FOOTBALL ACADEMY kinatoa maoni yake kwa Wadhamini pamoja na wafadhili wa vilabu mbalimbali nchini kutenga fungu la udhamini wao katika vilabu wanavyovidhamini kwaajili ya vilabu vya timu ndoto za vilabu hivyo ili kwenda sambamba na utendaji wa ukuzaji,maendeleo  na uokoaji wa gharama za mara kwa mara za kununua wachezaji kutoka vilabu vingine au nje ya nchi kitu kinachopunguza uwezo wa vilabu katika kupanga mfumo wa uchezaji pamoja kitimu na kuwa na wachezaji bora nchini muda si mrefu kutoka sasa.
Katika kile ambacho kitaweza kutoa nyota wengi chipukizi nchini ambao ndio watakao liokoa Taifa kwa kutoa chipukizi wa rika mbalimbali wa Taifa ambao ndio waokozi wa soka nchini baada ya timu za Taifa kwa pande zote  kudorora kwa zaidi miaka 48 sasa.Upangiliaji wa timu za Taifa za Watoto ndio mfumo utakaowawezesha njota hao kuutumia wakiwa wakipanda katika timu kubwa ya Taifa.
Bado hatujachelewa kufanya hivyo lakini huenda tukachelewa sana kama hatutoanzia sasa kuujenga mfumo huo wa kujenga upya sambamba na  kukarabati soka nchini nzima kuanzia ngazi za watoto.
HAYA HAPA CHINI NI MATUNDA YA KUWA NA TIMU ZA VIJANA AMBAPO WADHAMINI NA WAFADHILI WA VILABU KATIKA NCHI ZILIZOENDELEA KISOKA WANAVYOFANYA KATIKA KUPATA NYOTA WAO WA TAIFA PAMOJA NA VILABU .
LEO HII TUNAANZA NA NYOTA NDOGO KUTOKA NCHINI NIGERIA.  
Habeeb Omobolaji Adekanye

(3)  Fc Barçelona 2011
(2) Ajax Amsterdam 2007
(1)  VV Alphia 2006/2007
Date of Birth: 14th Feb,1999
Place of Birth: Ibadan Oyo State
Place of Birth: Ibadan Oyo State
Country: Nigeria
School: De Stromen
Klas: Group 7
Club (2): Ajax Amsterdam(2007-)
Club (3) Fc Barçelon (07-2011)
Possition: leftwinger
Both Foots: left and right
.........................

Ajax Amsterdam Youth Academy D2 2010-2011
Ajax Amsterdam E1 2009-2010
Ajax Amsterdam E2 2008-2009
Ajax Amsterdam F1 2007-2008
Bobby-Denis Bergkamp
Luis Suarez-Bobby
Littel Super Star Bobby-Sulejman
Future Super Star Bobby 11