WELCOME "KARIBU" TO ORANGE FOOTBALL ACADEMY ZANZIBAR

WELCOME "KARIBU" TO ORANGE FOOTBALL ACADEMY ZANZIBAR

.

.

.

.

.

.

MUDATHIR YAHYA

MUDATHIR YAHYA

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

SEIF ABDALLA "karihe"

SEIF ABDALLA "karihe"

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

www.ofaznz.net

Total Pageviews

Monday, 7 May 2012

O.F.A YASHINDA 3-1 LIGI YA VIJANA CHINI YA MIAKA 20

Oranje Football Academy jana iliifunga timu ya Mwambao jumla ya mabao 3-1 katika mechi ya ligi ya soka ya vijana chini ya miaka 20 kutafuta washindi wa kundi la Unguja litakalokutana na wale washindi wa kundi kutoka Pemba la kumpata bingwa wa soka wa Zanzibar 2011/2012.
Mabao ya O.F.A yalipachikwa kimiani na Yunus Bernad alietundika mabao 2 na Yussuf Miraj bao.
katika pambano la wiki iliyopita O.F.A ilifungwa bao 1-0 na Kwahanu katika pambano gumu la ligi hio inayofikia mwisho wake mwishoni mwa wiki hii.