WELCOME "KARIBU" TO ORANGE FOOTBALL ACADEMY ZANZIBAR

WELCOME "KARIBU" TO ORANGE FOOTBALL ACADEMY ZANZIBAR

.

.

.

.

.

.

MUDATHIR YAHYA

MUDATHIR YAHYA

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

SEIF ABDALLA "karihe"

SEIF ABDALLA "karihe"

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

www.ofaznz.net

Total Pageviews

Saturday, 9 February 2013

MATOKEO YA MECHI ZA LIGI ORANJE FOOTBALL ACADEMY


ORANGE FOOTBALL ACADEMY  U17 NA U14 JUMAPILI 27/1/2013 KATIKA MECHI ZA LIGI ZIMEWEZA KUFANYA VIZURI KWA PAMOJA KWA KUPATA USHINDI WA GOLI TATU (3) KWA KILA MOJA.

O.F.A  U17 ILIWEZA KUIFUNGA TIMU YA VILA REAL KWA JUMLA YA MAGOLI 3 - 1 KATIKA MCHEZO ULIOCHEZWA KIWANJA CHA MAU "B" SAA 4:00 am.
GOLI LA KWANZA LILIFUNGWA NA MCHEZAJI HAMED RIBERY DAKIKA 23,
 ALI MAJID 40 NA FAHAD ALAVES 80.
WAKATI WAKUBWA WAKISHINDA MABAO 3-1 WADOGO ZAO WA  U14 NAO WALIWEZA KUIFUNGA TIMU YA F.C BOYS KWA JUMLA YA GOLI 3 - 0 MCHEZO ULIOCHEZWA SAA 7:30 KATIKA KIWANJA CHA SMALL SIMBA MAISARA.
MAGOLI MAWILI YAMEFUNGWA NA MCHEZAJI MACHACHARI TEAM CAPTAIN ABDUL-HALIM KIZIZU DAKIKA 29, 50
NA GOLI LA TATU LILIWEKWA KIMIYANI NA ADAM EDO MANMO DAKIKA 55.

VIJANA WA U 14 WAMEFIKISHA POINT 6 NA GOLI 5 KWA MICHEZO MIWILI.
WAKATI WALE WA U 17 WAMEFIKISHA POINT 3 NA GOLI 3 KWA MICHEZO MIWILI.

JUMATATU TAREHE 28-01-2013 VIJANA WA O.F.A WALIFANYA MAZOEZI YA PAMOJA NA VIJANA WA CENTRAL TAIFA KUTOKA UNGUJA UKUU KATIKA KIWANJA CHA MAO "B" SAA 10:00 pm.