WELCOME "KARIBU" TO ORANGE FOOTBALL ACADEMY ZANZIBAR

WELCOME "KARIBU" TO ORANGE FOOTBALL ACADEMY ZANZIBAR

.

.

.

.

.

.

MUDATHIR YAHYA

MUDATHIR YAHYA

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

SEIF ABDALLA "karihe"

SEIF ABDALLA "karihe"

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

www.ofaznz.net

Total Pageviews

Tuesday, 22 January 2013

O.F.A U14 YAANZA KWA USHINDI WAKATI KAKA ZAO WAPOTEZA MECHI YA AWALI YA LIGI


Oranje Football Academy U14 mwishoni mwa wiki iliyopita imeanza vizuri ligi ya msimu huu baada ya kuifunga timu ya Aston Villa mabao 2-1

Katika pambano jingine la Orange Football Academy U17 imeanza vibaya baada  kufungwa goli 3 - 0 dhidi ya Fiorentina.
 

Katika mechi hio O.F.A  U17 ilikuwa ni siku mbaya kwa upande wao baada ya  kipa  wao  kupata majeraha ya goti ambapo  taarifa rasmi juu ya maumivu yake bado hatujazipata kutoka kwa daktari ni muda gani atakaa juu.
 

Vijana wote wa U14  na U17  wanaendelea na mazoezi kama kawaida kuanzia siku ya Jumatatu 21/1/2013 kujianda na mechi wikiendi hii kwa upande wa  U14 watacheza na timu ya F.C Boys na U17 ratiba yao itatoka Alhamis.