WELCOME "KARIBU" TO ORANGE FOOTBALL ACADEMY ZANZIBAR

WELCOME "KARIBU" TO ORANGE FOOTBALL ACADEMY ZANZIBAR

.

.

.

.

.

.

MUDATHIR YAHYA

MUDATHIR YAHYA

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

SEIF ABDALLA "karihe"

SEIF ABDALLA "karihe"

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

www.ofaznz.net

Total Pageviews

Sunday, 17 February 2013

WAWAKILISHI WA CCS KUTOKA NCHINI SWEDEN WAKIWA MAZOEZINI NA ORANJE FOOTBALL ACADEMY

Mwenyekiti wa kampuni ya SSC ya nchini Mr. Bo Lundquist ambae pia alikuwa na Rais wa moja ya miamba ya soka nchini Sweden akiwapa maelezo nyota wa Oranje Football Academy alipofika katika mazoezi ya vijana hao katika viwanja vya Mao Tse Tung B.

Nyota wa zamani wa mabingwa wa soka nchini Sweden ambae ni kocha wa youth na CEO wa kampuni ya CCS  Mr. Henrik Berggren akiteta na nyota wa O.F.A. walipofika kuwaona vijana hao ambae kwa kushirikiana na kampuni ya Afrisoccer Consulting LTD ya jijini Dar es salam iliyowaalika wawakilishi hao wa kampuni ya CCS kuja nchini ambao pia wamekutana na timu kubwa nchini kwa lengo la kuanza kufungua milango kwa nyota nchini kwenda kusakata soka barani ulaya kupitia kwa kampuni ya Afrisoccer ikishirikiana na Club Consulting Scandinavia AB.