WELCOME "KARIBU" TO ORANGE FOOTBALL ACADEMY ZANZIBAR

WELCOME "KARIBU" TO ORANGE FOOTBALL ACADEMY ZANZIBAR

.

.

.

.

.

.

MUDATHIR YAHYA

MUDATHIR YAHYA

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

SEIF ABDALLA "karihe"

SEIF ABDALLA "karihe"

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

www.ofaznz.net

Total Pageviews

Tuesday 19 February 2013

KIONGOZI WA ORANJE FOOTBALL ACADEMY ALIPOKUWA ZIARANI NCHINI MOROCCO

KIKOSI CHA CATEGORY 3 WA ASSOCIATION ESSAFAE DU DEVELOPMENT KIKISIKILIZA MAELEKEZO YA KOCHA MKALI NA MWENYE KIPAJI CHA HALI YA JUU SAID KABLA YA KUANZA KWA MECHI YAO ILIYOFANYIKA HIVI KARIBUNI KATIKATI YA MJI MKUU WA MOROCCO-RABAT.
NYOTA WA CATEGORY 3 WAKIPATA MAELEKEZO KUTOKA KWA MWALIMU WAO SAIDI AMBAE ANA CHETI CHA UKOCHA CHA KUFUNDISHA VIJANA KATIKA UMRI HUO
 KIKOSI KIKALI CHA CATEGORY 2 ASSOCIATION ESSAFAE DU DEVELOPMENT KIKIPASHA KABLA YA KUANZA PAMBANO LAO
      VIJANA WA CATEGORY 2 WAKIJITAYARISHA KUTINGA KIWANJANI
 VIJANA WA CATEGORY 2 KABLA YA MOJA YA MECHI ZAO
 WACHEZAJI WA CATEGORY 2 KABLA YA PAMBANO MWEZI ULIOPITA
KIKOSI KIKALI CHENYE NYOTA WA HALI YA JUU KIKIPEANA MIKONO NA WAPENZANI WAO KABLA YA PAMBANO

WACHEZAJI WA KIKOSI KIKALI CHA CATEGORY 2 KINACHOTANDAZA SOKA LA KISASA KATIKA PICHA YA PAMOJA KABLA YA PAMBANO

KOCHA MKUU WA CATEGORY 1,2 NA 3 SAID AKIPITA MBELE YA VIJANA WAKE MKONONI KULIA AKIWA NA REPOTI NZIMA YA VIJANA WAKE KUANZIA MAZOEZINI HADI MECHI ZOTE PAMOJA NA MICHORO YA MTINDO WA KUCHEZA NA NAFASI  ZA WACHEZAJI WAKE ,KUREKODI MUDA WA KUANZA PAMBANO HADI KUMALIZIKA PAMOJA NA MAKOSA YOTE YA VIJANA WAKE HAPO KIWANJANI,HIO HUMSAIDIA KUWANAO VIJANA WAKE KWA UHAKIKA PAMOJA NA KUPELEKA REPORT YA MAENDELEO KWA RAIS NA KATIBU MKUU WA KLABU HIO.
KIKOSI CHA CATEGORY 2 ASSOCIATION ESSAFAE DU DEVELOPMENT KILICHOSHENI NYOTA KIKIWA KATIKA PICHA YA PAMOJA (WATATU MBELE WALIOPIGA MAGOTI NI CAPTAIN  ZUHER AMBAE UWEZA WAKE WA KUMILIKI MIPIRA,KASI ,PASI ZA UHAKIKA PAMOJA NA USANIFU WA MPIRA ANAVYOTAKA INAUWEZO WA KUCHEZEA KLABU YOYOTE KUBWA BARANI ULAYA KWA  VIJANA WA UMRI WAKE.
KIKOSI CHA CATEGORY 1 KIKIPATA MAELEKEZO YA MWALIMU WAO SAID KABLA YA MPAMBANO WAO
 KOCHA MWENYE UJUZI WA HALI JUU KWA VIJANA SAID AKIWAPA MAWAIDHA NYOTA WAKE WA CATEGORY 1.
 KIKOSI MACHACHARI CHA CATEGORY 1 ASSOCIATION ESSAFAE DU DEVELOPMENT  KATIKA PICHA YA PAMOJA KABLA YA KUNZA PAMBANO
CHIPUKIZI WA CATEGORY 1 KATIKA PICHA YA PAMOJA KABLA YA PAMBANO LAO KATIKATI YA JIJI LA RABAT NCHINI MOROCCO. PICHA ZOTE ZIMEPIGWA NA KIONGOZI WA ORANJE FOOTBALL ACADEMY NA MWAKILISHI WA AFRISOCCER KANDA YA EUROPER/NORTH AFRICA
.......................................................................................................................
KIONGOZI WA ORANJE FOOTBALL ACADEMY NA MWAKILISHI WA AFRISOCCER CONSULTING LTD KANDA YA EUROPER NA NORTH AFRICA MWEZI ULIOPITA ALIKUWEPO NCHINI MOROCCO KATIKA MIJI YA CASABLANCA NA RABAT KUANGALIA JINSI YA UENDESHAJI WA SHUGHULI ZA SOKA KWA VIJANA KUTOKANA NA NCHI HIZO KUPIGA HATUA SANA KULINGANISHA NA SOKA YA VIJANA NCHINI.

KATIKA ZIARA HIO KIONGOZI HUYO ALITAKA KUJUA  KULIKONI  VIJANA WAO WAKO KATIKA HALI YA UCHEZAJI MKUBWA NA KUWASHINDA VIJANA WETU MBALI NA KUWA NCHINI TUNAO VIJANA WENYE VIPAJI VYA HALI YA JUU.

KULINGANA NA ALIVYOGUNDUA NI KUWA VYAMA VYA SOKA NCHINI MWAO VINAANGALIA SOKA KUANZIA NGAZI ZA CHINI HIVYO KUANZIA MAKOCHA,NA MWENENDO MZIMA WA SOKA.

MAKOCHA WA VIJANA WANAKUWA NA UWEZO MAALUMU UNAOTAKIWA KUMRUHUSU  KUFUNDISHA  VIJANA,
NA KWA UPANDE WA  MAKOCHA BINAFSI  WOTE KUWA NI WAKALI SANA WASIOKUWA NA MASIAHARA NA KUTOVUMILIA KOSA KUTENDEKA KIWANJANI BILA KULIKARIPIA ILI KUWATIA WOGA VIJANA KOTOFANYA TENA MAKOSA HAYO YAKITOKEA TENA.

MOROCCO NCHI JIRANI NA SPAIN KWA KILOMITA 100 WAKITENGANISHWA NA BAHARI YA MEDITERENIAN INA MATABAKA MAWILI   AMBAPO TABAKA LA MWANZO NI REAL MADRID WAKATI LILE TABAKA LA PILI NI F.C BARCELONA HIVYO KUIGAWA NCHI NZIMA KUWA NA HOMA KUBWA INAPOCHEZA MIAMBA HIO MIWILI MAHASIMU WAKUBWA WA SOKA DUNIANI,
PIA VIJANA WAO WANAFUATILIA LIGI NZIMA YA SPAIN NA KILA MCHEZAJI KUWA NA MCHEZAJI WAKE ANAEMUIGIZIA HADI KUFIKIA KUWA NYOTA KWA MBINU KAMA HIZO.
KATIKA MAMBO MENGINE MUHIMU NI KILA TIMU KUWA NA TIMU ZA VIJANA KUANZIA NGAZI YA CAEGORY 1 AMBAYO UMRI WA VIJANA NI KUANZIA MIAKA
9 -11,CATEGORY 2  NI VIJANA WA MIAKA 12-13 HUKU CATEGORY 3 NI KATI YA MIAKA 14-15,

VILABU VIKUBWA VINA VIJANA KUANZIA TEAM  B ,VIJANA U16-U18 HADI KUFIKIA CATEGORY 1 AMBAPO NI MTANDAO WA MAENDELEO NA MFUMO WA TIMU  UNAANZIA KUWAKOMAZA VIJANA WAO TOKEO HUKO CATEGORY 1 HADI KUFIKIA TEAM B BAADAE TEAM A YA KLABU HIO KWA KUWATENGENEZA KWA MAKUSUDI NYOTA WAKE KWAAJILI YA TIMU ZAO ZA PRIMIER LEAGUE.

TOFAUTI NA TIMU ZA NYUMBANI KUGERESHA NA UHAI CUP MSIMU MZIMA KUCHEZA MECHI 3 NA KUONDOLEWA MASHINDANO AU KUMALIZA LIGI INAYODUMU WIKI MBILI NA KUKAA KUSUBIRI MSIMU UJAO TENA KWA UHAI CUP.

BAADHI YA VILABU NCHINI HAZINA HATA TIMU B AMBAPO IKIFIKIA WAKATI WA UHAI CUP WANAZOA ZOA VIJANA MITAANI ILI KUWAFICHA TFF KUWA HAWANA TEAM B LAKINI WANAKUWA WANAJIFICHA WENYEWE KIMAENDELEO YA SOKANA SIO TFF.

AIDHA VILABU VYOTE VYA PRIMIER LEAGUE KAMA ZANZIBAR HAVINA HATA TEAM B WACHA MTANDAA WA TIMU HADI KUFIKIA CATEGORY 1 HIVYO KUZIFANYA TIMU NCHINI KUWA NYUMA SANA KATIKA SOKA.

TUNATARAJIA VIONGOZI WANAOHUSIKA WAANZE MCHAKATO MPYA WA KUANZISHA MFUMO MZURI WA SOKA ILI KULETA MAPINDUZI YA SOKA NCHINI KWAVILE VIJANA WENGI NCHINI WANA VIPAJI VIKUBWA ISIPOKUWA VINAHITAJI MAENDELEZO.
KATIKA AMBAYO ALIYAGUNDUA KIONGOZI WETU AMESOMA NI KUWA KUANZIA TIMU YA VIJANA WA CATEGORY 1 ,2 NA 3 VIJANA WOTE HUWA WANACHEZA MECHI  ZAO SIKU MOJA DHIDI YA WAPINZANI WAO AMBAO NA WAO TIMU ZAO CATEGORY 1,2 NA 3 KUCHEZA NA WAPINZANI HAO KWA SIKU HIO.

HII INASAIDIA VIONGOZI WA VILABU VYAO  KUWA FOCUS NA MECHI HIZO ZOTE KUCHEZWA SEHEMU MOJA MOJA NA BAADAE KUFUATIA NYINGINE,WACHEZAJI KUSHANGILIANA NA KUSOMA MBINU KUTOA KWA KAKA AU NDUGU ZAO.

KINYUME NA MIPANGO YA MASHINDANO YETU TIMU MOJA INACHEZA MCHANA NA NYINGINE JIONI KIWANJA CHA MBALI NA HAPO AU KUCHEZA KESHO KITU KINACHOFANYA KWENDA NA KURUDI NA USUMBUFU PAMOJA NA GHARAMA ZAIDI PVILEVILE KUWA NA UDHIBITI MBOVU WA VIFAA PAMOJA NA MENGI ZAIDI.