Wachezaji wa timu ya Barcelona (pichani juu)wakipita mbele ya mgeni rasmi Mwenyekiti wa Z F A wilaya ya mjini ndugu Hassan Haji (Chura)
Mwenyekiti akimkabidhi zawadi nahodha wa timu ya Barcelona...............................................................

Mgeni rasmi akikabidhi kikombe na fedha taslim shilingi laki mbili kwa timu Bingwa kwa Daraja la vijana Juvenile timu ya El hilal
.....................................................................
Wachezaji wa O F A wakisubiri kupokea zawadi yao ya mshindi wa pili
Mgeni rasmi Mh Ali Salum Mwakilishi wa Jimbo la kwahani akimkabidhi zawadi ya mshindi wa 2 kepteni wa OFA.