WELCOME "KARIBU" TO ORANGE FOOTBALL ACADEMY ZANZIBAR

WELCOME "KARIBU" TO ORANGE FOOTBALL ACADEMY ZANZIBAR

.

.

.

.

.

.

MUDATHIR YAHYA

MUDATHIR YAHYA

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

SEIF ABDALLA "karihe"

SEIF ABDALLA "karihe"

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

www.ofaznz.net

Total Pageviews

Thursday, 6 June 2013

MAZOEZI YASHIKA KASI ORANGE FOOTBALL ACADEMY


VIJANA WA KITUO CHA ORANGE FOOTBALL ACADEMY (O.F.A) WAKIWA KATIKA MAZOEZI WAKIJIANDAA NA MECHI ZA NNE (4) BORA DARAJA LA JUNIOR 2012 - 2013

LEO 6/6/2013 VIJANA KATIKA VIWANJA VYAO VYA MAZOEZI MAO "B" WAMEONYESHA KUWA WAPO FITI NA KUONYESHA ARI ZAIDI KATIKA KUHAKIKISHA WANAFANYA VIZURI KATIKA MECHI YAO YA KWANZA AMBAYO ITACHEZWA SIKU YA JUMAMOSI 8/6/2013.
VIJANA WAPO FITI HADI SASA NA KESHO WATAPATA MUDA ZAIDI WA MAZOEZI KUENGEZA MBINU ZA KUWEZA KUFANYA VIZURI.
VIJANA HAO KWA SASA WANAPIKWA VIKALI KUPITIA KITUO BORA KWA ZANZIBAR CHA ORANGE FOOTBALL ACADEMY CHINI WA KOCHA MKUU HASHIM ALI KIBABU,
KITUO CHETU AMBACHO NI MOJA YA KITUO BORA ZAIDI NCHINI KWA MALEZI YA VIJANA NYOTA WA SOKA KUPITIA KWA UONGOZI WA KITUO HICHO AMBAO KWA SASA UMEJIPANGA KUFANYA KWELI KATIKA KULEA, KUKUZA, NA KUENDELEZA SOKA LA VIJANA NCHINI KWA MANUFAA YA TAIFA.