WELCOME "KARIBU" TO ORANGE FOOTBALL ACADEMY ZANZIBAR

WELCOME "KARIBU" TO ORANGE FOOTBALL ACADEMY ZANZIBAR

.

.

.

.

.

.

MUDATHIR YAHYA

MUDATHIR YAHYA

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

SEIF ABDALLA "karihe"

SEIF ABDALLA "karihe"

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

www.ofaznz.net

Total Pageviews

Tuesday, 4 June 2013

orange football academy u17 yaendelea na mazoezi kujiandaa na nne bora


O.F.A leo imeendelea na mazoezi kwa ajili ya kujipanga na kujiweka fiti kwa mechi za hatua ya nne (4) bora daraja la Junior msimu wa 2012/2013.

Vijana  wa O.F.A U17  wapo tayari kuzikabili mechi za nne (4) bora na wamejipanga vyema kuhakikisha wanafanya vizuri na kuchakutwaa Ubingwa huo.

Kituo cha soka cha kukuza soka kwa vijana nchini kikishirikiana na Afrisoccer Consulting Ltd ya jijini Dar Es Salaam wabajipanga kuhakikisha vijana wa kituo hicho kinatoa nyota wengi kwa ajili ya vilabu vikubwa vya hapa nchini pamoja na nyota hao kupatiwa timu nje ya nchi kwaajili ya kuliwezesha taifa kuwa na nyota wengi hapo baadae.
mazoezi yakiendelea katika kujiandaa na ligi ya junior vijana chini ya miaka 17 ambayo imefikia katika hatua ya nne bora ya kumpata bingwa wa msimu wa 2012/2013.