WELCOME "KARIBU" TO ORANGE FOOTBALL ACADEMY ZANZIBAR

WELCOME "KARIBU" TO ORANGE FOOTBALL ACADEMY ZANZIBAR

.

.

.

.

.

.

MUDATHIR YAHYA

MUDATHIR YAHYA

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

SEIF ABDALLA "karihe"

SEIF ABDALLA "karihe"

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

www.ofaznz.net

Total Pageviews

Saturday, 7 September 2013

LIGI KUU YA ZANZIBAR YAANZA

Mechi ya kwanza ya  ligi kuu ya Zanzibar kati ya mafunzo na chuoni ilifungua rasmi pazia la kuanza kwa ligi. 

Ligi hio imeanza kwa burudani safi ya soka lililooneshwa na timu zote mbili zikibadilishana wakati tu wakioneshana kazi katka mchezo huo  timu ya Chuoni iliokuwa mwenyeji ilipata Penalti dakika ya 5 ya mchezo na kushindwa kuitumia vyema baada ya kipa wa timu ya mafunzo kuicheza penalti hio hata hivyo timu ya mafunzo waliweza kuwadhibidi vizuri timu ya chuoni kwa vile muda wa dakika 85 za mchezo wamecheza 10 wakiwa pungufu  kufuatia mchezaji wao mmoja kutolewa nje ya kiwanja kwa mchezo mbaya kwa kuoneshwa kadi nyekundu na faulu hio ya dakika ya tano ya mchezo ndio ilomzawadia kadi hio nyekundu wakatihuo huo chama cha mpira wa miguu Zanzibar kimetowa sh 20,000 kwa mfungaji wa goli la kwanza kwenye ligi kuu kwa msimu huu

 Matokeo ya mechi hio ni Chuoni 1 na Mafunzo 2
Mashabiki wa soka wakifuatilia kwa makini mechi ya ligi kati ya Chuoni na Mafunzo