WELCOME "KARIBU" TO ORANGE FOOTBALL ACADEMY ZANZIBAR

WELCOME "KARIBU" TO ORANGE FOOTBALL ACADEMY ZANZIBAR

.

.

.

.

.

.

MUDATHIR YAHYA

MUDATHIR YAHYA

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

SEIF ABDALLA "karihe"

SEIF ABDALLA "karihe"

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

www.ofaznz.net

Total Pageviews

Saturday, 7 September 2013

MAZOEZI ORANJE FOOTBALL ACADEMY


Kituo cha kukuza vipaji vya soka kwa vijana nchini ORANGE FOOTBALL ACADEMY kinaendelea vizuri na mazoezi yake kujiandaa na ligi za vijana wa JUNIOR NA JUVENILE  msimu huu ambapo vijana wanaendea vizuri na huku kukiwa na ushindani mkubwa wa kupata namba katika vikosi vya kwanza vya O.F.A .
Kutokana na ushindani mkubwa wa kuwania nafasi za kuwa katika kikosi cha kwanza chipukizi wote wamekuwa wakijituma sana mazoezini na kutoa burudani safi kutokana na vipaji vya nyota hao chipukizi.