WELCOME "KARIBU" TO ORANGE FOOTBALL ACADEMY ZANZIBAR

WELCOME "KARIBU" TO ORANGE FOOTBALL ACADEMY ZANZIBAR

.

.

.

.

.

.

MUDATHIR YAHYA

MUDATHIR YAHYA

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

SEIF ABDALLA "karihe"

SEIF ABDALLA "karihe"

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

www.ofaznz.net

Total Pageviews

Sunday, 15 September 2013

ORANJE FOOTBALL ACADEMY YAICHAPA SAP SOAPMATOKEO ORANGE 1 - 0 SAP SOAP, GOLI LA OFA LIMEFUNGWA NA ADAM ALI (EDO) DAKIKA YA 56.

Orange Football Academy yatoa kichapo cha Goli 1 - 0 dhidi ya timu ya Sap Soap kutoka kwa Mchina mwanzo katika mchezo safi wa kirafiki uliochezwa Mau leo 14/9/2013, Goli la vijana wa OFA limefungwa na Mchezjai Adam Ali (Edo) kipindi cha pili ch amchezo dakika ya 56. hata hivyo vijana wa ofa walipoteza nafasi nyingi za wazi.

Vile vile Vijana wa OFA U-19 watacheza mechi ya kirafiki na timu ya New Vission katika Kiwanja cha Mao Ste tung.

Kituo cha kukuza na kuendeleza vipaji kwa vijana cha OFA kinatoa rambi rambi za pongezi kwa vijana wa Copa Coka Cola kutoka Mkoa wa Mjini Magharibi kwa ushindi mzuri walioupata na kushinda Taji la mashindano hayo kwa vijana wa Umri chini ya miaka 15