WELCOME "KARIBU" TO ORANGE FOOTBALL ACADEMY ZANZIBAR

WELCOME "KARIBU" TO ORANGE FOOTBALL ACADEMY ZANZIBAR

.

.

.

.

.

.

MUDATHIR YAHYA

MUDATHIR YAHYA

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

SEIF ABDALLA "karihe"

SEIF ABDALLA "karihe"

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

www.ofaznz.net

Total Pageviews

Thursday, 23 July 2015

ZOEZI LA UHAMISHO NA USAJILI LIMEANZA RASMI JUMAATATU 20.07.2015

Zoezi la usajili wa Wachezaji wa vilabu mbalimbali vinavyosimamiwa na Chama cha soka cha Vijana " Kamati ya Central League" limeanza rasmi jumatatu hii 20-07-2015 na litaendelea hadi  tarehe 20-08-2015.

Zoezi hilo la usajili ni kwaajili ya Zanzibar yote na kama kutatokea mabadiliko yoyote ambayo kwa timu zinazowahamisha wachezaji wa timu nyingine za madaraja hayo ya vijana ya Central League vilabu hivyo vitatakiwa kununua fomu za uhamisho wa wachezaji hao kwa kamati Central League inayosimamia katika sehemu husika.

Tunatarajia vilabu vyote vitafuata taratibu zote zilizowekwa na Kamati Ya Central League na vile tunavitakia vilabu vyote usajili mzuri wa msimu wa 2015-1016.