WELCOME "KARIBU" TO ORANGE FOOTBALL ACADEMY ZANZIBAR

WELCOME "KARIBU" TO ORANGE FOOTBALL ACADEMY ZANZIBAR

.

.

.

.

.

.

MUDATHIR YAHYA

MUDATHIR YAHYA

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

SEIF ABDALLA "karihe"

SEIF ABDALLA "karihe"

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

www.ofaznz.net

Total Pageviews

Monday, 29 June 2009

MABADILIKO YA RATIBA YA MAZOEZI O.F.A

Oranje Football Academy wanaanza mazoezi leo katika viwanja vya nje vya mao tse tung kujiandaa na mechi yao ya Fainal ya knock-out ambayo inatarajiwa kuchezwa siku ya terehe
04-07-09 kati yake na F.C Arizona,

akitangaza mabadiliko hayo ya haraka ya kuanza mazoezi katibu mkuu wa O.F.A Hussein Ali aliiambia blog hii ya Academy ya O.F.A kuwa imetokana na habari zilizokuja haraka sana na huku wakiwa wamesimamisha mazoezi kwaajili ya mapumziko kwa vijana wake,

kuanzia leo jumatatu 29-06-09 mazoezi yataanza katika viwanja vya nje vya mao tse tung
vijana wa O.F.A wataingia kambini siku ya jumatano tarehe 01-07-09 kwaajili ya kujiandaa na fainal hio ambayo inatarajiwa kuwa ngumu kutokana na ubora wa wapinzani wao F.C Arizona kuwa na wachezaji wenye kucheza soka ya kuelewana na kujituma muda wote wa mchezo,

O.F.A wanatarajia kutoa burudani safi ya kutandaza soka kama kawaida yao na wanatarajia kushinda mechi hio ambayo itakuwa na upinzani mkubwa.
-------------------------------------------------------------------------------------------------