vijana Chipukizi wa OF.A wakiwa watika matayarisho kabla ya mechi ya mwisho ya ligi ya youth U-17 ambapo waliweza kutoka sare na timu ya youth ya ivory coast ambao ndio waliibuka kuwa mabingwa msimu huu 2009 kwa mabao 2-2 , o.f.a walishika nafasi ya tatu ambapo mechi ilishirikisha jumla ya timu 9 ambazo zilishinda kabla katika makundi, hivi karibuni O.F.A watacheza mechi ya knock-out final-------------------------------------------------------------------------------------------------