O.f.a wanaendelea na mazoezi kama kawaida na wakiwa na matumaini makubwa ya kushinda mechi ya fainal ya know-out,mpaka kulikuwa hakuna mchezaji yoyote anaesumbuliwa na maumivu na mazoezi yanaendelea kama kawaida tayari kwa kujiandaa na fainal hio ambapo vijana wa o.f.a wanaonekana kuwa na uchu wa kutandaza soka kama kawaida yao na kuweza kuibuka na ushindi katika mechi hio.-------------------------------------------------------------------------------------------------