Mazoezi ya vijana chipukizi wa Oranje Football Academy yanaendelea kama kawaida na vijana hao wa O.F.A watakuwa kiwanjani wiki hii kwa mechi ya kirafikina timu ya FUJONI STARS.
-------------------------------------------------------------------------------------------------