WELCOME "KARIBU" TO ORANGE FOOTBALL ACADEMY ZANZIBAR

WELCOME "KARIBU" TO ORANGE FOOTBALL ACADEMY ZANZIBAR

.

.

.

.

.

.

MUDATHIR YAHYA

MUDATHIR YAHYA

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

SEIF ABDALLA "karihe"

SEIF ABDALLA "karihe"

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

www.ofaznz.net

Total Pageviews

Thursday, 13 August 2009

TANZANIA 2- 1 RWANDA

Tanzania Taifa Stars jana iliweza kushindakwa jumla ya mabao 2-0 dhidi ya wenyeji wao Rwanda katika mchezo uliofanyika katika kiwanja cha nyasi bandia cha Nyamilambo mjini kigali,

katika mchezo huo ambao ulipishana kwa ufindi katika kila kipindi ambapo kipindi cha kwanda kilitawaliwa na wenyeji hao wa Rwanda na kipindi cha pili kutawaliwa na vijana wa Stars,

ilikuwa ni Taifa Stars iliyoweza kutingisha nyavu za Rwanda katika dakika ya 52 kwa bao lililofungwa na Rashid Gumbo, hata hivyo bao hilo halikudumu kwa muda mrefu kwani wenyeji hao waliokuwa wakishangiriwa na washabiki wao kwa nguvu waliweza kusawazisha dakika 3 baadae wakati Mwisenzerwa Jamal aliporejesha bao hilo katika dakka ya 55,

Stars wakicheza kwa uelewano mkubwa waliweza kuandika bao la ushindi lililopachikwa kimiani na Jerry Tegete katika dakika ya 60,

Rwanda ambayo inajiandaa kwa pambalo lao na Egypt kutafuta nafasi ya kuinga katika fainali za kombe la dunia 2010 pamoja na kombe la mataifa ya Africa haikuwa kuonyesha kiwango cha kuweza kuikabili wamisri hao kwani kipindi cha pili kilitawaliwa zaidi na Stars ambao kutokana na matokeo hayo itweza kujisogeza mbele katika kiwango cha soka duniani hasa ukiangalia Iceland ambao wapo juu kwa nafasi moja jana walitoka sare 1-1 na Slovakia,kwahio bila shaka Tanzania wataweza kuchupa nafasi zaidi za juu kulingana na matokeo ya nchi zilizojuu ya Tanzania na michezo waliyocheza jana.

kama timu za Iceland 92,Sudan 91,Congo 89,Peru 89 zitatetereka kaitka michezo yao ya jana,basi dhahiri ni kuwa Tanzania itachupa katika nafasi za dhamanini na kitu,na kuziaga nafasi za tisini ambapo ipo hivi sasa.
-------------------------------------------------------------------------------------------------